DR SLAA TUNDU LISSU NA WAFUASI WENGINE WA CHADEMA WAKAMATWA NA POLISI ARUSHA

BREAKING NEWZ


Katibu mkuu wa CHADEMA, Wilbrod Slaa na mkurugenzi wa sheria wa chama hicho Tundu Lissu na wafuasi wengine kumi wa chama hicho wanafikishwa mahakamani muda mfupi ujao jijini Arusha.


kuna hatihati ya kutopewa dhamana maana vurugu zinaendelea kwani vijana wa chama hicho wanavunja vioo vya magari na muda mfupi uliopita wamefanya hivyo katika mitaa ya Sabena iliyoko karibu na stand kuu ya Arusha ,wanahojiwa na polisi kwa kuendesha mkutano jana. Cha ajabu jeshi la polisi lilikuwepo wakati wa mkutano kutoa ulinzi.kuwa nami tazidi kukuapdate!

0 comments:

Post a Comment