KONA YA BURUDANI: IDA MREMBO MTANZANIA ANEYEJIVUNIA KUPIGA PICHA ZA UTUPU

Mwanamitindo Mtanzania, Ida Ljungqvist amesema kuwa ataendelea kupiga picha za X kwa sababu zinampa utajiri.
Ida mwenye maskani yake California, Los Angeles, Marekani, amekuwa gumzo kwa miaka kadhaa tangu alipokubali kwa hiari yake mwenyewe kupigwa picha za utupu na kujiingizia mamilioni.
Ida ni Mtanzania mwenye umri wa miaka 29, alizaliwa na mama Mtanzania na baba Mswidishi Septemba 27, 1981.
Alitisha mwaka 2008 alipofanikiwa kushinda kupiga pozi akiwa mtupu kwenye jarida maarufu la Playboy.

1 comments:

  1. Pumbavu

Post a Comment