HOFU YATANDA LIVERPOOL “Gerlad kutocheza mechi ya jumapili na Mancity”

 24 november 2011


Steven Gerrard atakosa kucheza mechi ya jumapili na mancity na bado haijaeleweka ni lini mchezaji huyo ataweza kurudi tena uwanjani, wakati huohuo boss wa majogoo hao (Liverpool) Kenny Dalglish ameendelea kusisitiza kua anafurahia maendeleo ya Gerlad baada ya matibabu,lakini hakua tayari kuelezea ni lini Kaptein huyo  atarudi tena uwanjani
Kenny Dalglish amesema kuwa kila mchezaji atakuwepo katika mechi ya jumapili isipokuwa Gerlad na Jack Robinson.
Namnukuu Kenny Dalglish kama alivyokua anaongea na waandishi kama ilivyoonyeshwa na Sky Newz
“Like we've already said, we are delighted with the progress he's making and we've said that we won't put a date on his return - and we won't put a date on it now”

1 comments:

  1. We dogo umeanza ln kufatilia michezo, we zako mapenzi tu pumbav

Post a Comment