Mafuriko Dar es salaam,hapakaliki,watu 13 wafariki,mvua kuendelea kwa siku mbili zijazo

21 december 2011
Mvua zinazoendelea kunyesha jijini Dar zimesababisha mafuriko na kusababisha mamia ya watu kukosa makazi na habari zilizopo ni kuwa idadi ya watu wapatao 13 wamefariki dunia,na eneo lililo athirika zaidi ni Jangwani maeneo mengine ni Tandare,Tabata,Mbezi kibanda cha mkaa n.k,habari kutoka hali ya hewa zinadai mvua hizo zinaweza kuendelea siku mbili zijazo,hivyo wakazi wa kwenye maeneo husika kama mabondeni kuombwa kuchukua tahadhari
Hili ni eneo la Jangwani
watu wanajiokoa
mafuriko
na barabara imezuiwa
bado hali ni tete Dar
gari hatarini

Gari likijaribu kukatiza

Eneo la jangwani

0 comments:

Post a Comment